BALOZI DKT. MOH’D JUMA ABDALLA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI
Balozi Dkt. Moh'd Juma Abdalla amekutana na Mhe. Majed Hindi Al-Otaibi, Naibu Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia kujadili maandalizi ya ziara ya ujumbe wa Wizara hiyo nchini Tanzania mwezi Septemba 2024. Ziara hiyo inataoa fursa… Read More